Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 24:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Na huyo mtumishi akaanza kutoa vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na mavazi akampa Rebeka; naye akawapa vitu bora ndugu yake na mama yake.+

  • 1 Samweli 18:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kwa hiyo Sauli akasema: “Mwambieni Daudi hivi, ‘Mfalme hapendezwi na pesa za mahari,+ lakini anapendezwa na magovi+ mia moja ya Wafilisti, ili ajilipize kisasi+ juu ya adui za mfalme.’” Lakini Sauli alikuwa amepanga hila kwamba Daudi aanguke kwa upanga mkononi mwa Wafilisti.

  • Hosea 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Nami nikajinunulia huyo mwanamke kwa vipande kumi na tano vya fedha+ na kipimo kimoja cha homeri ya shayiri na nusu homeri ya shayiri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki