Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Mwishowe utakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, nawe uwe umeimiliki na kukaa ndani yake,+ nawe uwe umesema, ‘Acha niweke mfalme juu yangu kama mataifa yote yanayonizunguka’;+

  • Kumbukumbu la Torati 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 utaweka juu yako mfalme ambaye Yehova Mungu wako atachagua.+ Kutoka katikati ya ndugu zako utaweka mfalme juu yako. Hutaruhusiwa kuweka juu yako mgeni ambaye si ndugu yako.

  • 1 Samweli 10:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Lakini ninyi—leo mmemkataa Mungu+ wenu ambaye alikuwa mwokozi wenu kutoka katika maovu yenu yote na taabu zenu, nanyi mkasema: “Hapana, bali uweke mfalme juu yetu.” Basi sasa simameni mbele za Yehova kulingana na makabila+ yenu na kulingana na maelfu yenu.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki