Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Tena Farao akamwambia Yosefu: “Mimi ni Farao, lakini bila ruhusa yako mtu yeyote asiinue mkono wake wala mguu wake katika nchi yote ya Misri.”+

  • Mwanzo 45:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi sasa si ninyi ambao mlinileta hapa,+ ila ni Mungu wa kweli, ili aniweke niwe baba+ kwa Farao na bwana kwa nyumba yake yote na kuwa mtawala katika nchi yote ya Misri.

  • Zaburi 105:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Akamweka kuwa bwana wa nyumba yake+

      Na kuwa mtawala juu ya mali yake yote,+

  • Matendo 7:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 naye akamkomboa kutoka katika dhiki zake zote na kumpa neema na hekima machoni pa Farao mfalme wa Misri. Naye akamweka aongoze Misri na nyumba yake yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki