-
Kutoka 30:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Naye Haruni anapowasha taa katikati ya zile jioni mbili, ataufukiza. Ni uvumba wa daima mbele za Yehova katika vizazi vyenu vyote.
-
-
Mambo ya Walawi 24:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Nje ya pazia la Ushuhuda katika hema la mkutano Haruni ataiweka kwa utaratibu toka jioni mpaka asubuhi mbele za Yehova daima. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo katika vizazi vyenu vyote.
-
-
2 Mambo ya Nyakati 13:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Nao wanamfukizia Yehova toleo la kuteketezwa asubuhi baada ya asubuhi na jioni baada ya jioni+ na pia uvumba uliotiwa manukato;+ na tabaka za mkate ziko juu ya meza ya dhahabu safi,+ na kuna kinara cha taa+ cha dhahabu na taa zake ili kuwaka jioni baada ya jioni;+ kwa sababu tunashika wajibu+ kwa Yehova Mungu wetu, lakini ninyi mmemwacha.+
-