- 
	                        
            
            Hesabu 16:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
47 Haruni akakichukua mara moja, kama vile Musa alivyokuwa amesema, naye akakimbia kuingia katikati ya kutaniko; na, tazama! pigo lilikuwa limeanza katikati ya watu. Basi akatia uvumba juu yake na kuanza kufanya upatanisho kwa ajili ya watu.
 
 -