Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “‘Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaisherehekea ikiwa sherehe kwa Yehova katika vizazi vyenu vyote. Nanyi mtaisherehekea kama sheria mpaka wakati usio na kipimo.

  • Kumbukumbu la Torati 6:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nawe uyafunge kama ishara kwenye mkono wako,+ na yawe kama utepe wa kipaji katikati ya macho yako;+

  • Kumbukumbu la Torati 11:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Nanyi mtatia maneno haya yangu katika moyo wenu+ na nafsi yenu na kuyafunga kama ishara juu ya mkono wenu, nayo yatakuwa kama utepe wa kipaji katikati ya macho yenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki