Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 “Kwa hiyo mkaja karibu na kusimama chini ya mlima, nao mlima ulikuwa ukiwaka moto mpaka katikati ya mbingu; kulikuwa na giza, wingu na weusi mzito.+

  • 1 Wafalme 8:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo wakati ule Sulemani akasema: “Yehova mwenyewe alisema kwamba atakaa katika giza zito.+

  • Zaburi 97:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Mawingu na giza zito vinamzunguka;+

      Uadilifu na hukumu ni mahali palipofanywa imara pa kiti chake cha ufalme.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki