-
Ayubu 31:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Kwa kuwa nilikuwa nikishtuka kwa sababu ya umati mkubwa,
Au dharau la familia lilikuwa likinitia hofu
Nami nilikuwa nikikaa kimya, sikuwa nikiondoka nje ya mlango.
-