Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi kupitia kwao mtajifanya wenyewe msiwe safi. Kila mtu anayegusa mizoga yao atakuwa asiye safi mpaka jioni.+

  • Mambo ya Walawi 15:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na ikiwa mtu mwenye mtiririko unaotoka atamtemea mate mtu aliye safi, ndipo atayafua mavazi yake na kuoga katika maji na kuwa asiye safi mpaka jioni.

  • Mambo ya Walawi 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nayo nafsi yoyote itakayokula mwili uliokufa tayari au kitu kilichoraruliwa na mnyama-mwitu,+ awe ni mwenyeji au mkaaji mgeni, basi atayafua mavazi yake na kuoga katika maji na kuwa asiye safi+ mpaka jioni; naye atakuwa safi.

  • Mambo ya Walawi 22:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Nafsi itakayogusa kitu chochote cha vitu hivyo itakuwa si safi mpaka jioni naye hatakula kitu chochote katika vitu vitakatifu, lakini ataoga mwili wake katika maji.+

  • Hesabu 19:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Naye kuhani atayafua mavazi yake na kuoga mwili wake katika maji, na baadaye anaweza kuingia kambini; lakini yule kuhani atakuwa si safi mpaka jioni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki