Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Nami nitalitakasa hema la mkutano na madhabahu; nami nitamtakasa+ Haruni na wanawe ili wawe makuhani kwangu.

  • Mambo ya Walawi 10:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Ndipo Musa akamwambia Haruni: “Hivi ndivyo Yehova amesema, ‘Na nitakaswe+ kati ya wale walio karibu nami,+ nami nitukuzwe mbele ya uso wa watu wote.’”+ Naye Haruni akakaa kimya.

  • Ezra 8:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha nikawaambia: “Ninyi ni kitu kitakatifu+ kwa Yehova, na vyombo+ hivi ni kitu kitakatifu, na hii fedha na dhahabu ni toleo la hiari kwa Yehova Mungu wa mababu zenu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki