Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 21:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ndipo Israeli akampiga kwa makali ya upanga+ na kuitwaa nchi+ yake kutoka Arnoni+ hadi Yaboki,+ karibu na wana wa Amoni; kwa sababu Yazeri+ ndio mpaka wa wana wa Amoni.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “‘Ondokeni, mshike njia na kuvuka bonde la mto la Arnoni.+ Tazama, nimemtia mkononi mwako Sihoni+ mfalme wa Heshboni, yule Mwamori. Kwa hiyo anza kumiliki nchi yake, na kupigana vita naye.

  • Kumbukumbu la Torati 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Basi nikawaamuru ninyi wakati huo, na kusema, ‘Yehova Mungu wenu amewapa nchi hii mpate kuimiliki. Mtavuka, mkiwa tayari na silaha, mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, wanaume wote mashujaa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki