Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Katika nyika hii mizoga yenu itaanguka,+ naam, wote kati ya hesabu yenu ya walioandikishwa kuanzia miaka 20 na zaidi, ninyi ambao mmenung’unika juu yangu.+

  • Kumbukumbu la Torati 1:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 ‘Hakuna hata mmoja kati ya watu hawa wa kizazi hiki kiovu atakayeiona ile nchi nzuri niliyoapa ya kwamba nitawapa baba zenu,+

  • Kumbukumbu la Torati 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Na siku tulizotembea kutoka Kadesh-barnea mpaka tulipovuka bonde la mto la Zeredi zilikuwa miaka 38, mpaka kizazi chote cha wanaume wa vita kilipokuwa kimefikia mwisho wake kutoka katika kambi, kama vile Yehova alivyokuwa amewaapia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki