Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 27:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Ukiisha kuiona, ndipo utakusanywa kwa watu wako,+ naam, wewe, kama vile Haruni ndugu yako alivyokusanywa,+

  • Kumbukumbu la Torati 3:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Panda juu ya Pisga,+ uinue macho yako kuelekea magharibi na kaskazini na kusini na mashariki, uone kwa macho yako, kwa maana wewe hutavuka huu mto Yordani.+

  • Kumbukumbu la Torati 34:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na Yehova akamwambia: “Hii ndiyo nchi ambayo nilimwapia Abrahamu, Isaka na Yakobo, na kusema, ‘Nitaupa uzao wako.’+ Nimekufanya uione kwa macho yako mwenyewe, kwa maana wewe hutavuka kuingia huko.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki