Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 20:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Utawaambia wana wa Israeli, ‘Mtu yeyote wa wana wa Israeli, na mkaaji mgeni yeyote anayekaa akiwa mgeni katika Israeli, anayempa Moleki+ yeyote kati ya uzao wake, lazima auawe. Watu wa nchi watampiga kwa mawe mpaka afe.

  • Mambo ya Walawi 20:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “‘Naye mwanamume au mwanamke atakayekuwa na roho ya kuwasiliana na pepo au roho ya kubashiri,+ lazima wauawe.+ Watawapiga hao kwa mawe na kuwaua. Damu yao wenyewe iko juu yao.’”+

  • Kumbukumbu la Torati 17:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 utamtoa nje ya malango yako mwanamume huyo au mwanamke huyo ambaye amefanya jambo hilo baya, naam, mwanamume huyo au mwanamke huyo, nawe utampiga kwa mawe mtu huyo, naye lazima afe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki