Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 “Nami nitauweka mpaka wako kutoka Bahari Nyekundu hadi bahari ya Wafilisti na kutoka nyikani hadi kwenye Mto;+ kwa sababu nitawaweka wakaaji wa nchi hiyo mikononi mwenu, na hakika wewe utawafukuzia mbali kutoka mbele yako.+

  • Kumbukumbu la Torati 11:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kila mahali ambapo wayo wa mguu wenu utakanyaga patakuwa penu.+ Mpaka wenu utakuwa kutoka nyikani hadi Lebanoni, kutoka ule Mto, mto Efrati, hadi bahari ya magharibi.+

  • Kumbukumbu la Torati 12:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ikiwa mahali ambapo Yehova Mungu wako atachagua kuweka jina lake+ hapo patakuwa mbali nawe, basi utachinja sehemu ya mifugo yako au sehemu ya kundi lako ambalo Yehova amekupa wewe, kama vile ambavyo nimekuamuru wewe, nawe utakula ndani ya malango yako wakati wowote ambapo nafsi yako inaitamani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki