Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 25:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Tena, kiwanja cha malisho+ cha majiji yao kisiuzwe, kwa sababu hicho ni miliki mpaka wakati usio na kipimo kwa ajili yao.

  • Hesabu 35:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape wana wa Israeli amri ya kwamba lazima wawape Walawi majiji+ wakae humo kutoka katika urithi wa miliki yao, nao watawapa Walawi kiwanja cha malisho cha majiji kuzunguka pande zote.+

  • Hesabu 35:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Nanyi mtapima nje ya jiji upande wa mashariki mikono elfu mbili na upande wa kusini mikono elfu mbili na upande wa magharibi mikono elfu mbili na upande wa kaskazini mikono elfu mbili, jiji likiwa katikati. Hicho kitatumika kwao kama kiwanja cha malisho cha majiji hayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki