Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 33:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Nanyi mtaimiliki nchi na kukaa humo, kwa sababu hakika nitawapa ninyi nchi hiyo mpate kuimiliki.+

  • Yoshua 20:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Basi wakayapa hali ya utakatifu majiji ya Kedeshi+ katika Galilaya katika eneo lenye milima la Naftali, na Shekemu+ katika eneo lenye milima la Efraimu, na Kiriath-arba,+ yaani, Hebroni, katika eneo lenye milima la Yuda.

  • Waamuzi 4:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Naye alikuwa anakaa chini ya mtende wa Debora kati ya Rama+ na Betheli+ katika eneo lenye milima la Efraimu; na wana wa Israeli wakawa wakimwendea ili awahukumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki