3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.+
8 Ikiwa hapendezi machoni pa bwana wake hivi kwamba hamfanyi kuwa suria+ bali anamfanya akombolewe, hatakuwa na haki ya kumuuza kwa watu wa kigeni katika kumtendea kwake kwa hila.
13 Wakati huo Daudi akaendelea kuchukua masuria+ na wake+ zaidi kutoka katika Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; naye Daudi akaendelea kuzaa wana na mabinti zaidi.
21 Na Rehoboamu alimpenda zaidi Maaka mjukuu wa Absalomu kuliko wale wake+ zake wengine wote na masuria wake; kwa maana alikuwa amechukua wake 18, pia masuria 60, hivi kwamba akawa na wana 28 na binti 60.