Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 19:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Ndipo mume wake akasimama, akamfuata ili kuzungumza naye kwa sauti ya kufariji ili amrudishe; naye alikuwa pamoja na mtumishi+ wake na punda-dume wawili. Basi mwanamke huyo akamleta katika nyumba ya baba yake. Wakati baba ya huyo mwanamke kijana alipomwona, mara moja akafurahi kuonana naye.

  • Waamuzi 19:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Ndipo yule mwanamume+ akasimama ili aende, yeye pamoja na suria+ wake na mtumishi+ wake; lakini baba-mkwe wake, baba ya yule mwanamke kijana, akamwambia: “Tazama, sasa! Mchana umesonga kuelekea kuwa jioni. Tafadhali, laleni usiku kucha.+ Tazama mchana unakaribia mwisho wake. Lala hapa usiku kucha, na acha moyo wako uchangamke.+ Nanyi kesho mwamke mapema kwa ajili ya safari yenu, nawe uende hemani kwako.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki