Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 4:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi yule nabii akasema: “Hakika nitaenda pamoja nawe. Hata hivyo, kile kitu cha kurembesha hakitakuwa chako katika njia unayoiendea, kwa kuwa Yehova atamuuza Sisera katika mkono wa mwanamke.”+ Ndipo Debora akasimama, akaenda pamoja na Baraka mpaka Kedeshi.+

  • Waamuzi 5:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Aliporomoka katikati ya miguu yake, alianguka, akalala chini;

      Aliporomoka katikati ya miguu yake, alianguka;

      Hapo alipoporomoka, ndipo alipoanguka akiwa ameshindwa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki