Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Nami nitaweka amani katika nchi,+ nanyi mtalala, pasipo yeyote wa kuwatetemesha;+ nami nitamkomesha katika nchi+ mnyama-mwitu mwenye madhara, nao upanga hautapita katika nchi yenu.+

  • Waamuzi 3:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Baada ya hapo nchi haikuwa na usumbufu wowote kwa miaka 40. Mwishowe Othnieli mwana wa Kenasi akafa.

  • Waamuzi 3:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Na Moabu wakatiishwa siku hiyo chini ya mkono wa Israeli; na nchi haikuwa na usumbufu wowote tena kwa miaka 80.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki