Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 45:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi sasa si ninyi ambao mlinileta hapa,+ ila ni Mungu wa kweli, ili aniweke niwe baba+ kwa Farao na bwana kwa nyumba yake yote na kuwa mtawala katika nchi yote ya Misri.

  • 2 Wafalme 6:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Sasa mfalme wa Israeli akamwambia Elisha mara alipowaona: “Je, niwapige, je, niwapige,+ baba yangu?”+

  • Isaya 22:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nami nitamvika kanzu yako, nitamfunga imara ukumbuu wako,+ nitaitia mkononi mwake mamlaka yako; naye lazima awe baba kwa mkaaji wa Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki