9 Ndipo akauliza: “Wewe ni nani?” Naye akajibu: “Mimi ni Ruthu kijakazi wako, basi mfunike kijakazi wako kwa upindo wa nguo yako, kwa maana wewe ni mkombozi.”+
5 Halafu Boazi akasema: “Siku utakayolinunua shamba hilo mkononi mwa Naomi, utalinunua pia kutoka kwa Ruthu Mmoabu, mke wa mwanamume aliyekufa, ili umwinulie jina mwanamume huyo katika urithi wake.”+