Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 9:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nao wakawajibu na kusema: “Ndiyo. Tazama! Yuko mbele yenu. Fanyeni haraka sasa, kwa sababu amekuja jijini leo, kwa maana leo kuna dhabihu+ kwa ajili ya watu katika mahali pa juu.+

  • 1 Samweli 20:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Naye akaendelea kusema, ‘Tafadhali niache niende, kwa maana tuna dhabihu ya familia jijini, na ndugu yangu mwenyewe ndiye aliyeniamuru. Basi sasa, ikiwa nimepata kibali machoni pako, acha niende kisirisiri, ili niwaone ndugu zangu.’ Ndiyo sababu hakuja kwenye meza ya mfalme.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki