-
Matendo 16:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kwa hiyo mlinzi wa jela akamweleza Paulo maneno yao: “Mahakimu wa raia wamewatuma watu kwamba ninyi wawili mfunguliwe. Kwa hiyo, sasa, tokeni mwende zenu kwa amani.”
-