Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 8:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 nawe useme moyoni mwako, ‘Nguvu zangu mwenyewe na uwezo kamili wa mkono wangu mwenyewe zimenifanyizia mali hii.’+

  • Waamuzi 8:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Lakini wakuu wa Sukothi wakasema: “Je, viganja vya mikono ya Zeba na Zalmuna tayari vimo mkononi mwako ili jeshi lako lipewe mkate?”+

  • 2 Wakorintho 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi yeye ambaye humgawia mpandaji wa mbegu kwa wingi na mkate wa kula+ atawagawia na kuwazidishia ninyi mbegu ili mpande naye ataongeza mazao ya uadilifu wenu.)+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki