Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na Daudi akakimbia, akaponyoka,+ akaenda kwa Samweli huko Rama.+ Naye akamwambia mambo yote ambayo Sauli alikuwa amemfanyia. Ndipo yeye na Samweli wakaenda zao, wakaanza kukaa katika Naiothi.+

  • 1 Samweli 22:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi Daudi akaondoka huko,+ na kukimbilia+ pango+ la Adulamu;+ na ndugu zake na nyumba yote ya baba yake wakasikia habari hiyo, nao wakaondoka, wakashuka kumwendea huko.

  • 1 Samweli 22:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Baada ya muda, nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usiendelee kukaa mahali pasipoweza kufikiwa. Nenda zako, unapaswa kurudi katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaenda zake, akaingia katika msitu wa Herethi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki