Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 23:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mara moja Daudi akasimama pamoja na watu wake, karibu watu mia sita,+ wakatoka katika Keila, wakaendelea kutembea mahali popote ambapo waliweza kutembea. Naye Sauli akajulishwa kwamba Daudi aliponyoka kutoka Keila, basi akaacha kwenda.

  • 1 Samweli 27:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Daudi akaondoka, yeye pamoja na watu mia sita+ waliokuwa pamoja naye, akavuka kwenda kwa Akishi+ mwana wa Maoki, mfalme wa Gathi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki