25 Basi Yehoshafati na watu wake wakaja kupora nyara+ walizokuwa nazo, na katika nyara hizo wakakuta kwa wingi mali na mavazi na vyombo vyenye kutamanika; nao wakaendelea kuwavua mpaka waliposhindwa kuchukua zaidi.+ Nao wakapora nyara kwa siku tatu, kwa maana zilikuwa nyingi.