Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Na wana wa Israeli wakafanya kulingana na neno la Musa, wakawaomba Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda.+

  • 2 Wafalme 7:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Ndipo wakawafuata mpaka Yordani; na tazama! njia yote ilijaa mavazi na vyombo+ ambavyo Wasiria walikuwa wamevitupa walipokuwa wanakimbia.+ Kisha wale wajumbe wakarudi na kumletea mfalme habari.

  • Methali 13:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Mtu mwema atawaachia urithi wana wa wanawe, na mali ya mtenda-dhambi huwekwa akiba kwa ajili ya mwadilifu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki