Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na mpaka huo ukapanda hadi Debiri katika nchi tambarare ya chini ya Akori+ na kugeuka kuelekea kaskazini hadi Gilgali,+ lililo mbele ya mpando wa Adumimu, ambao uko upande wa kusini wa bonde la mto; na mpaka huo ukaendelea hadi kwenye maji ya En-shemeshi,+ na mwisho wake ukawa En-rogeli.+

  • 1 Samweli 11:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi watu wote wakaenda Gilgali, kisha wakamfanya Sauli kuwa mfalme mbele za Yehova katika Gilgali. Ndipo wakatoa huko dhabihu za ushirika mbele za Yehova,+ na Sauli na watu wote wa Israeli wakaendelea kushangilia huko kwa hali ya juu sana.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki