Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 17:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Upande wa kusini ulikuwa ni wa Efraimu na upande wa kaskazini ulikuwa ni wa Manase, na bahari ikawa ndiyo mpaka wake;+ nao upande wa kaskazini wanafika Asheri na upande wa mashariki wanafika Isakari.

  • Yoshua 17:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kisha wana wa Yosefu wakasema: “Eneo hilo lenye milima halitutoshi, na kuna magari ya vita+ yenye miundu ya chuma kati ya Wakanaani wote wanaokaa katika nchi tambarare ya chini, wale walio katika Beth-sheani+ na miji yake ya kandokando na vilevile wale walio katika nchi tambarare ya chini ya Yezreeli.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki