Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Na wote wa Benyamini walioanguka siku hiyo wakajumlika mwishowe kuwa watu 25,000 wenye kutumia upanga,+ wote hao wakiwa wanaume mashujaa.

  • Waamuzi 20:47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Lakini wanaume mia sita wakageuka, wakakimbia kuelekea nyikani mpaka kwenye mwamba wa Rimoni, nao wakaendelea kukaa juu ya mwamba wa Rimoni+ kwa miezi minne.

  • Waamuzi 21:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na wana wa Israeli wakaanza kujuta juu ya Benyamini ndugu yao. Basi wakasema: “Leo kabila moja limekatiliwa mbali kutoka katika Israeli.

  • Zaburi 68:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Tazama Benyamini mdogo akiwatiisha,+

      Wakuu wa Yuda pamoja na umati wao unaopaaza sauti,

      Wakuu wa Zabuloni, wakuu wa Naftali.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki