Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 2:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 nawe utakaribia mbele ya wana wa Amoni. Usiwasumbue wala usigombane nao, kwa sababu sitakupa sehemu yoyote ya nchi ya wana wa Amoni iwe miliki yako, kwa maana nimewapa wana wa Loti iwe miliki yao.+

  • 1 Samweli 11:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na ikawa kesho yake kwamba Sauli+ akaweka watu katika vikosi vitatu;+ nao wakaingia katikati ya kambi wakati wa kesha la kuamkia asubuhi+ na kuwapiga Waamoni+ mpaka wakati siku ilipokuwa na jua kali. Na baadhi yao walipoonekana kuwa wamebaki, ndipo wakatawanywa, wala hawakubaki watu wawili wakiwa pamoja kati yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki