Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 20:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi watu wote wa Israeli wakaanza kupanda, wakaacha kumfuata Daudi ili wamfuate Sheba mwana wa Bikri;+ lakini watu wa Yuda wakashikamana na mfalme wao kutoka Yordani mpaka Yerusalemu.+

  • 2 Samweli 20:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi mfalme akamwambia Amasa:+ “Wakusanye watu wa Yuda waje kwangu katika muda wa siku tatu, nawe usimame hapa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki