27 Na mfalme akaendelea kumwambia Sadoki kuhani: “Wewe ni mwonaji, sivyo?+ Rudi jijini kwa amani, na pia Ahimaazi mwana wako na Yonathani+ mwana wa Abiathari, wana wenu wawili, pamoja nanyi.
15 Baadaye Hushai akamwambia Sadoki+ na Abiathari, makuhani: “Ahithofeli alimshauri Absalomu na wanaume wazee wa Israeli hivi na vile; nami nikashauri hivi na vile.