Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 20:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na Daudi akakimbia+ kutoka Naiothi katika Rama. Hata hivyo, akaja na kusema mbele ya Yonathani: “Nimefanya nini?+ Kosa langu ni nini, nami nimetenda dhambi gani mbele ya baba yako, kwa maana anaitafuta nafsi yangu?”

  • 1 Samweli 20:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Ndipo Sauli akamtupia mkuki, ili ampige;+ na Yonathani akajua kwamba baba yake alikuwa ameazimia kumuua Daudi.+

  • 1 Samweli 23:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na Daudi akaendelea kuogopa kwa sababu Sauli alikuwa ametoka ili kuitafuta nafsi yake, Daudi alipokuwa katika nyika ya Zifu kule Horeshi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki