Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 9:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na Daudi akaendelea kumwambia: “Usiogope, kwa maana hakika nitakuonyesha fadhili zenye upendo+ kwa ajili ya Yonathani baba yako;+ nami nitakurudishia mashamba+ yote ya Sauli babu yako, nawe utakula mkate mezani pangu sikuzote.”+

  • 2 Samweli 19:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kwa maana nyumba yote ya baba yangu ingelikuwa si kitu ila kuhukumiwa kifo mbele ya bwana wangu mfalme, na hata hivyo ulimweka mtumishi wako kati ya wale wanaokula mezani pako.+ Basi bado nina nini kama dai la haki la kumlilia+ zaidi mfalme?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki