-
2 Samweli 12:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Daudi alipoona kwamba watumishi wake wananong’onezana, Daudi akaanza kutambua kwamba yule mtoto amekufa. Kwa hiyo Daudi akawaambia watumishi wake: “Je, mtoto amekufa?” Wakasema: “Amekufa.”
-