Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 14:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Halafu roho ya Yehova ikaanza kutenda kazi juu yake,+ kisha akashuka Ashkeloni,+ akawapiga watu 30 kati yao, akachukua mavazi aliyowavua, akawapa mavazi hayo wale wasemaji wa kile kitendawili.+ Na hasira yake ikaendelea kuwaka, akapanda kwenda zake kwa nyumba ya baba yake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 20:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Basi Yehoshafati na watu wake wakaja kupora nyara+ walizokuwa nazo, na katika nyara hizo wakakuta kwa wingi mali na mavazi na vyombo vyenye kutamanika; nao wakaendelea kuwavua mpaka waliposhindwa kuchukua zaidi.+ Nao wakapora nyara kwa siku tatu, kwa maana zilikuwa nyingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki