Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 21:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Hivyo Ahabu akaenda nyumbani kwake, akiwa mwenye kinyongo na mwenye huzuni kwa sababu ya lile neno ambalo Nabothi Myezreeli alikuwa amemwambia, aliposema: “Sitakupa fungu la urithi la mababu zangu.” Kisha akalala kitandani pake, akakaa akiwa amegeuza uso wake,+ naye hakula mkate.

  • Zaburi 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Na sasa, enyi wafalme, onyesheni ufahamu;

      Kubalini kurekebishwa, enyi waamuzi wa dunia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki