Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Hivyo Yehonadabu akamwambia: “Lala kitandani mwako, ujifanye mgonjwa.+ Na baba yako atakuja kukuona, nawe umwambie, ‘Tafadhali, acha Tamari dada yangu aingie ndani, anipe mkate kama mgonjwa, naye atayarishe mkate wa kufariji chini ya macho yangu ili niuone, nami nile kutoka mkononi mwake.’”+

  • 1 Wafalme 1:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwa hiyo Bath-sheba akaingia kwa mfalme katika chumba cha ndani,+ na mfalme alikuwa mzee sana,+ na Abishagi,+ Mshunamu, alikuwa akimhudumia mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki