-
2 Samweli 13:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kisha Amnoni akamwambia Tamari: “Leta mkate wa kufariji katika chumba cha ndani, ili niule kama mgonjwa kutoka mkononi mwako.” Basi Tamari akachukua zile keki zenye umbo la moyo ambazo alikuwa ametayarisha, akazileta ndani kwa Amnoni ndugu yake katika chumba cha ndani.
-