Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 16:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na Mfalme Daudi akaenda mpaka Bahurimu,+ na tazama! palikuwa na mtu anatoka huko, wa familia ya nyumba ya Sauli, na jina lake lilikuwa Shimei,+ mwana wa Gera, akiwa anatoka na kulaani huku akiwa anatoka.+

  • 2 Samweli 16:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa hiyo Daudi na watu wake wakazidi kusonga mbele barabarani, Shimei naye akiwa anatembea kando ya mlima, akitembea kando yake ili alaani;+ naye akaendelea kutupa mawe akiwa kando yake, naye alitupa mavumbi mengi sana.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki