Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Nami nitakivunja kiburi cha nguvu zenu na kuzifanya mbingu zenu ziwe kama chuma+ na nchi yenu iwe kama shaba.

  • Kumbukumbu la Torati 11:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 na hasira ya Yehova iwake juu yenu, naye afunge mbingu hivi kwamba mvua yoyote isitokee+ nayo nchi isitoe mazao yake nanyi mwangamie haraka kutoka katika nchi nzuri ambayo Yehova anawapa ninyi.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Anga zako zilizo juu ya kichwa chako pia zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki