Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 leo nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu,+ ya kwamba hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi ambayo mnavuka Yordani ili mwimiliki. Hamtarefusha siku zenu juu yake, kwa sababu hakika mtaangamizwa.+

  • Kumbukumbu la Torati 8:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “Na itatukia kwamba ikiwa utamsahau Yehova Mungu wako hata kidogo nawe ufuate miungu mingine na kuitumikia na kuiinamia, nashuhudia juu yenu leo kwamba ninyi mtaangamia kabisa.+

  • Kumbukumbu la Torati 30:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 nawaambia ninyi leo kwamba hakika mtaangamia.+ Hamtarefusha siku zenu katika nchi mnayovuka Yordani ili kuimiliki.

  • Yoshua 23:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 mnapaswa kujua hakika kwamba Yehova Mungu wenu hataendelea kuyanyang’anya mataifa haya miliki yao kwa ajili yenu;+ nayo yatakuwa kwenu kama mtego na mnaso na kama kiboko mbavuni mwenu+ na kama miiba machoni penu mpaka mtakapoangamia na kutoka katika nchi hii nzuri ambayo Yehova Mungu wenu amewapa ninyi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki