Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 leo nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu,+ ya kwamba hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi ambayo mnavuka Yordani ili mwimiliki. Hamtarefusha siku zenu juu yake, kwa sababu hakika mtaangamizwa.+

  • Kumbukumbu la Torati 28:63
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 63 “Na itatukia kwamba kama vile Yehova alivyokuwa na furaha juu yenu ili kuwafanyia mema na kuwazidisha ninyi,+ ndivyo Yehova atakavyokuwa na furaha juu yenu ili kuwaharibu ninyi na kuwaangamiza ninyi;+ nanyi mtang’olewa kutoka katika nchi mnayoenda kuimiliki.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki