13 Naye Yehoashi mfalme wa Israeli akamkamata Amazia mfalme wa Yuda mwana wa Yehoashi mwana wa Ahazia kule Beth-shemeshi, kisha wakaja Yerusalemu, naye akabomoa shimo katika ukuta wa Yerusalemu katika Lango la Efraimu+ mpaka kwenye Lango la Pembeni,+ urefu wa mikono mia nne.