Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Basi mfalme akafanya shauri,+ akatengeneza ndama wawili wa dhahabu+ na kuwaambia watu: “Ni vigumu mno kwenu kwenda Yerusalemu. Tazama, huyu ni Mungu wenu,+ enyi Israeli, aliyewatoa ninyi katika nchi ya Misri.”+

  • 2 Mambo ya Nyakati 13:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Na sasa ninyi mnafikiri juu ya kusimama imara kupigana na ufalme wa Yehova mkononi mwa wana wa Daudi,+ huku mkiwa umati mkubwa+ nanyi mna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu aliwatengenezea ninyi kuwa miungu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki