Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 20:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na hakika mimi nitaongeza miaka kumi na mitano kwa siku zako, nami nitakukomboa wewe pamoja na jiji hili kutoka katika mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitalilinda+ jiji hili kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”’”+

  • Isaya 31:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kama ndege wanaoruka, vivyo hivyo Yehova wa majeshi atamlinda Yerusalemu.+ Atamlinda, yeye pia hakika atamkomboa.+ Atamwokoa, pia atamponya.”

  • Isaya 37:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 ‘Nami hakika nitalilinda+ jiji hili ili kuliokoa kwa ajili yangu mwenyewe+ na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki